Na Lilian Lundo - MAELEZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa, miradi yote iliyopangwa na iliyoanza kutekelezwa wilayani Chato itakamilika.
Rais Samia amesema hayo leo Machi 17, 2022 Chato, mkoani Geita wakati wa kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
"Kwa hapa Chato nataka niwahakikishie kwamba miradi yote tuliyopanga na ambayo tumeshaanza kutekeleza tutaikamilisha hata ile midogo midogo," alisema Ra...
Read More