[caption id="" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Nanyamba kwenye mkutano wa hadhara, katika Wilaya ya Tandahimba, Mkoani Mtwara, Waziri Mkuu yupo mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi ya siku tatu, Februari 28, 2018.[/caption]
[caption id="attachment_29064" align="aligncenter" width="750"] Wananchi wa Kata ya Nanyamba, Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika mkutano wa hadhara, aliofanyika jana, Februari 28, 2018.[/caption]
 ...
Read More