[caption id="attachment_41329" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na MichezoMhe.Dkt Harrison Mwakyembe akimkabidhi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa zawadi ya picha inayoelezea utendaji wa Serikali ya Awamu ya Tano[/caption]
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano Serikalini kuyatangaza na kuyatetea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano yanayoendelea nchini.
Pia, amewataka Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano Serikalini kuhakikisha wa...
Read More