[caption id="attachment_41345" align="aligncenter" width="1000"] Viongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) wakiongoza Mkutano wa wanachamana hao wa mwaka katika kikao kazi cha 15 cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) leo Jijini Mwanza.[/caption] [caption id="attachment_41349" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini(TAGCO) Paschal Shelutete akizungumza na Maafisa hao(hawapo pichani) wakati wa kikao cha mwaka cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) leo Jijini Mwanza.[/caption] [caption id="attachment_41348" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Habasi akichangia jambo wakati wa kikao kazi cha 15 cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) leo Jijini Mwanza.[/caption] [caption id="attachment_41352" align="aligncenter" width="1000"] Mtaalamu wa Mawasiliano Kimkakati Innocent Mungy akiwasilisha mada ya Mbinu za Medani za Kihabari wakati wa Dharura kwa Maafisa Habari wa Serikali katika kikao kazi cha 15 cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) leo Jijini Mwanza.[/caption] [caption id="attachment_41347" align="aligncenter" width="1000"] Maafisa Mawasiliano Serikalini wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa katika kikao kazi cha 15 cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) leo Jijini Mwanza.[/caption] [caption id="attachment_41346" align="aligncenter" width="1000"] Maafisa Mawasiliano Serikalini wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa katika kikao kazi cha 15 cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) leo Jijini Mwanza.[/caption]