Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Godfrey Kasekenya, akitoa maelekezo kwa Mhandisi Mshauri wa Kampuni ya Norplan, Mhandisi Henry Ngogolo, anayesimamia ujenzi wa barabara ya Uvinza – Malagarasi (km 51.1), inayojengwa kwa kiwango cha lami, mkoani Kigoma.
Serikali imeshaanza usanifu wa barabara ya kuruka na kutua ndege katika Kiwanja cha Ndege cha Kigoma kutoka mita 1,800 uliopo sasa hivi hadi kufikia mita 3,000 ili kuwezesha ndege kubwa kama vile Bombadier Q400 na Boeing kutua bila changamoto yoyote.
Naibu Wazi...
Read More