Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango leo tarehe 3 Machi, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo (tete a tete) na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta, mazungumzo yaliofanyika kando ya Ukumbi wa Mikutano wa Shiirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira (UNEP) Jijini Nairobi, Kenya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango leo tarehe 3 Machi, 2022 akishiriki Mkutano maalum wa kuadhimisha miaka 50 ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) unaofanyika katika Makao...
Read More