Rais Mhe. Samia Akutana na Kuzungumza na Viongozi wa Dini Ikulu Jijini Dar Es Salaam
Mar 02, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi mbalimbali wa Dini mara baada ya Kikao chao kilichofanyika leo tarehe 02 Machi, 2022 Ikulu Jijini Dar Es salaam.