Majaliwa Azindua Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya
Mar 02, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
WaziriMkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan - DADP) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Jijini Dodoma, Machi 2, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan - DADP) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Jijini Dodoma, Machi 2, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha vitabu vya Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan - DADP) baada ya kuzindua mipango hiyo kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Jijini Dodoma, Machi 2, 2022.