Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali Bw. Emmanuel Tutuba, akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Ubelgiji nchini, Bw. Koenraad Goekint, mara baada ya kikao kilichofanyika Wizarani, jijini Dodoma.
Na Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma
Serikali ya Ubelgiji imeahidi kuipatia Tanzania Euro milioni 25 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 62, kwa ajili ya kutekeleza program mpya ya maendeleo ya miaka mitano katika sekta ya elimu, inayotarajiwa kutekelezwa kuanzia mwaka 2023 hadi mwaka 2027, katika Mk...
Read More