Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Awaapisha Mawaziri na Manaibu Mawaziri Aliowateua Hivi Karibuni.
Mar 10, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Lela Mohammed Mussa kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Shamata Shaame Khamis kuwa Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji, Maliasili na Kilimo Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa ilifanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Shaib Hassan Kaduara kuwa Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa ilifanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Juma Makungu Juma kuwa Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Hassan Khamis Hafidh kuwa Naibu Waziri Wizara ya Afya Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa ilifanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Juma Makungu Juma kuwa Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Ali Suleiman Ameir (Mrembo) kuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar,hafla hiyo ya kuapishwa ilifanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar