[caption id="attachment_29619" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akizungumza na wadau mbalimbali wa habari wakati wa mkutano ulioandaliwa na taasisi ya Twaweza kuhusiana na hali ya upatikanaji wa taarifa na dhana ya uhuru wa habari nchini. Mkutano huo ulifanyika leo.[/caption]
Serikali imesema haijazuia vyombo vya habari kukosoa utekelezaji wa sera, mikakati na programu zake na badala yake imesisitiza kuzingatia miiko na maadili ya taaluma hiyo yaliyoanishwa...
Read More