Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wote bila kujali itikadi za kisiasa, kidini na kikabila washiriki kikamilifu kutoa maoni ili kuhakikisha Dira mpya ya Taifa ya Maendeleo inakuwa jumuishi na shirikishi. Pia, Waziri Mkuu amewataka viongozi wa Mikoa, Wilaya, Halmashauri, Kata/Shehia, Mitaa/Vijiji na vitongoji wahamasishe na kuwaelimisha wananchi wanaoishi katika maeneo yao ili washiriki kikamilifu katika kutoa maoni ya Dira mpya ya Taifa ya Maendeleo. Mheshimiwa Majaliwa ameyasema hayo leo (Ijumaa, Februari 16, 202...
Read More