Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na ugeni kutoka Qatar ukiongozwa na Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Kazi ya Qatar, Mhe. Mohamed Hassan al Obaidali Februari 18, 2022 Jijini Dar es Salaam. Viongozi hao wamejadili juu ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Qatar katika sekta ya Uwekezaji, Biashara na uhusiano wa kimataifa.
Tanzania imekusudia kuendeleza uhusiano uliopo kati yake na nchi ya Qatar sambamba na kukuza mahusiano ya kibiashara, uc...
Read More