Rais Mhe. Samia Azungumza Azungumza na Watanzania Waishio Ubelgiji na Luxembourg
Feb 18, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Sehemu ya Watanzania mbalimbali waishio nchini Ubelgiji na Luxembourg wakiwa katika Kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Brussels nchini Ubelgiji leo 18 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania mbalimbali waishio nchini Ubelgiji na Luxembourg Brussels nchini Ubelgiji leo 18 Februari, 2022baada ya kumaliza kikao cha pamoja.