Rais Dkt. Mwinyi, Waziri Mkuu, Majaliwa Wamuaga Dkt. Mwelecele Malecela
Feb 19, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa mara alipowasili katika msiba wa mtoto wa Mzee John Samuel Malecela, Dkt. Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) wakibeba mwili wa marehemu Dkt.Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO)katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuagwa kabla ya kwenda kuzikwa kijijini kwao Dodoma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dtk. Hussein Ali Mwinyi akitoa salamu zake na kutoa pole kwa familia ya Mzee John Samuel Malecela kwa kufiwa na mtoto wake, Dkt. Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) tukio lililofanyika leo katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo
Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Samuel Malecela (katikati) akiwa na familia yake katika msiba wa kumuaga mtoto wake marehemu Dkt. Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) tukio lililofanyika leo katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akitoa salamu zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu, Dkt. Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) ambaye pia ni mtoto wa Mzee John Samuel malecela leo katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo.