Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali katika kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, Bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2021.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2021.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William...
Read More