Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, Bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2021.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2021.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (kulia) akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2021.
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma (kulia) akimuuliza swali Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ,Bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2021
Mbunge wa Kwimba Mansoor Shanif Hiran akimuuliza swali Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Bungeni jiini Dodoma Februari 4, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya Wabunge kutoka Mkoa wa Mara kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 4, 2021. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mwita Waitara, Mbunge wa Butiama, Jumanne Sagini, Mbunge wa Musoma Mjini, Vedasto Mathayo na Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo