[caption id="attachment_40008" align="aligncenter" width="800"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amerejea jijini Dodoma leo Februari 1, 2019 baada ya kumuwakilisha Rais, Dkt. John Magufuli katika mazishi ya mke wa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary bin Zubeir yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamndolwa wilayani Korogwe, Tanga[/caption]
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (watatu kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge (kulia) kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma wak...
Read More