Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Balozi Aisha Amour, akitoa maelekezo kwa Mameneja wa TEMESA wa Mikoa (hawapo pichani), wakati wa kikao kazi chao, jijini Dodoma. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa TEMESA Bw. Lazaro Kilahala na kulia Naibu Katibu Mkuu Sekta ya Ujenzi, Bw Ludovick Nduhiye.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Balozi Aisha Amour, ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), kujipanga upya ili kukidhi matarajio ya Taasisi hiyo kwa Serikali.
Akizu...
Read More