Rais Samia Asalimiana na Wananchi wa Lamadi Busega Mwanza
Feb 04, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwapungia mikono Wananchi wa Lamadi Busega mkoani Mwanza alipokua njiani akielekea mkoani Mara leo Tarehe 04 Februari 2022.
Baadhi ya viongozi wakimskilizaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani), wakimsikiliza Wananchi wa Lamadi Busega mkoani Mwanza alipokua njiani akielekea mkoani Mara leo Tarehe 04 Februari 2022.