Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, (kushoto) akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, baada ya kumaliza mazungumzo yao jijini Dodoma, ambapo Rais huyo wa AfDB yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kwa mwaliko wa Mhe.Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Na Peter Haule na Saidina Msangi, WFM, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba , ameishukuru Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa kuahidi kuteke...
Read More