Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Arejea Tanzania akitokea Ethiopia
Feb 07, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea Addis Ababa, Ethiopia alikohudhuria Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU). Februari 07,2022.