Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Angeline Mabula kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angeline Mabula akila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Februari, 2022.
Rais w...
Read More