Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Rais wa AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Feb 09, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinumwi Adesina aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Chamwino leo tarehe 09 Februari, 2022.