Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa akieleza mipango mbalimbali ya kuendeleza michezo wakati wa kikao cha kujadili namna ya kuboresha michezo katika shule za msingi na sekondari, Kikao hicho kimekutanisha Wizara za Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo,Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia na Wizara ya TAMISEMI.
Na Shamimu Nyaki - WHUSM
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo ametoa agizo kwa Halmashauri zote nchini kutenga maeneo kwa ajili ya shughuli za michezo, huku akiagiza Wakurugenzi kat...
Read More