Na Daudi Manongi, WHMTH, MwanzaSpika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi, Mhe. Anne Makinda amesema mfumo wa anwani za makazi utaisaidia Serikali kupanga mipango ya maendeleo, kuimarisha usalama, kuongeza ajira na mapato ya Serikali.Mhe. Makinda ameyasema hayo leo wakati akizindua mfumo huo katika viwanja vya shule ya msingi Buhongwa B kata ya Mkolani Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza.“Nazipongeza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, TAMISEMI, Wizara ya Ardhi, Nyumba na...
Read More