Rais Samia Amuapisha Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Brazil
Dec 06, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Barazil leo tarehe 06 Disemba 2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.