Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, akizungumza na mkandarasi kutoka kampuni ya China Wu Yi Company anayejenga barabara ya Mto wa Mbu – Loliondo: Sehemu ya Wasso – Sale (km 49), mkoani Arusha.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema kuwa Serikali imedhamiria kujenga barabara inayoanzia Sale hadi Ngarasero (km 50) kwa kiwango cha lami ili kufungua uchumi wa Ngorongoro, kupunguza gharama za usafiri na usafirishaji na kukuza utalii.
Aidha, ameiagiza Wakala wa Barabara (TANROADS), kuanza usanifu wa sehemu...
Read More