Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), CPA. Hosea Kashimba, wakisaini hati ya makubaliano ya Shilingi trilioni 2.17 kwa ajili ya kuwalipa wastaafu, baada ya kusainiwa, jijini Dodoma.
Na. Farida Ramadhani na Peter Haule, WFM, Dodoma
Serikali imeupatia Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Shilingi trilioni 2.17 ikiwa ni malipo ya awamu ya kwanza ya deni la wastaafu walioanza kazi kab...
Read More