Rais Samia Afanya Ziara ya Kutembelea Kituo cha Redio cha TBC Taifa
Dec 22, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu uendeshaji wa vipindi mbalimbali vya Redio kutoka kwa Mkurugenzi wa Huduma za Redio TBC Redio, Bi Aisha Dachi wakati alipotembelea Kituo cha Redio cha TBC Taifa kilichopo Barabara ya Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Desemba 2021. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. Ayoub Rioba.