[caption id="attachment_24811" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Masanja Kadogosa (kulia), alipokagua miundombinu ya Reli ya Kaskazini ambayo inakarabatiwa na Shirika hilo kutoka Tanga hadi Arusha, katika Kata ya Mombo, wilayani Korogwe, mkoani Tanga.[/caption]
Serikali imesema imeanza kufufua reli ya Kaskazini ya kutoka Tanga hadi Arusha ambayo ilikufa miaka 14 iliyopita ili kuwezesha waf...
Read More