Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omari Mgumba akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya namna mkoa ulivyojipanga kiusalama wakati wa michezo ya SHIMUTA ambayo ufunguzi wake unatarajiwa kufanyika Novemba 21, 2022 mkoani Tanga.
Na Oscar Assenga, TANGA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mashindano ya Mashirika ya Umma, Makampuni na Taasisi Binafasi nchini (SHIMUTA) Novemba 21 mwaka huu kwenye viwanja vya Mkwakwani Jijini Tanga.
Hayo yalibainishwa leo na Mwenyekiti...
Read More