[caption id="attachment_49339" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Bw. Masanja Kadogosa, akimpokea Rais wa Benki ya Biashara na Maendeleo Mashariki na Kusini mwa Afrika (TDB), Dkt. Admassu Tadesse alipotembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), kipande cha Dar es Salaam hadi Morogoro, jijini Dar es Salaam.[/caption]
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
Rais na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo Mashariki na Kusini mwa Afrika (TDB) Dkt. Admassu Tadesse ameipongeza Serikali ya Tanz...
Read More