Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Mhe. Dkt. Magufuli Aweka Mawe ya Msingi Katika Ujenzi wa Makao Makuu ya Bodi ya Usajili ya Wakandarasi na Uhamiaji Mkoani Dodoma.
Nov 25, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_49310" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi, CRB, pamoja na Taasisi nyingine zilizo chini ya Wizara hiyo mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Makao Makuu ya Bodi ya Usajili wa Makandarasi.[/caption] [caption id="attachment_49311" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya ujenzi wa Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_49309" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Jengo hilo la Makao Makuu ya Bodi ya Usajili wa Makandarasi linalojengwa mkoani Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_49308" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Msajili wa Bodi ya Makandarasi CRB Eng. Reuben Nkori kuhusu ujenzi wa Jengo la Gorofa 10 la Bodi hiyo linalojengwa mjini Dodoma.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi