Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea na wananchi wa Kijiji cha Chimilolo alipotoka katika hafla ya
uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa(National Defence Headquarters) katika eneo la Kikombo,Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein
Mwinyi pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo na maafisa
waandamizi wengine akifunua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la
Msingi la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa(National Defence Headquarters) katika eneo la Kikombo,Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo,Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa pamoja na maafisa waandamizi wa jeshi hilo wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Rais magufuli kukata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa(National Defence Headquarters) katika eneo la Kikombo,Jijini Dodoma.
Wananchi mbalimbali wakifuatilia hotuba ya Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli(hayupo Pichani) wakati wa uwekaji wa jiwe la
Msingi la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa(National Defence Headquarters) katika eneo la Kikombo,Jijini Dodoma.
Viongozi mbalimbali wa Serikali wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli(hayupo Pichani) wakati wa uwekaji wa jiwe la
Msingi la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa(National Defence Headquarters) katika eneo la Kikombo,Jijini Dodoma.
Viongozi mbalimbali wa Serikali wakifuatilia kwa makini maagizio hotuba ya wakati wa
uwekaji wa jiwe la
Msingi la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa(National Defence Headquarters) katika eneo la Kikombo,Jijini Dodoma.