Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Linegene, Kata ya Mirui, wilayani Liwale, Mkoa wa Lindi, leo Novemba 2, 2022. ametoa siku 14 kwa Jeshi la Polisi kuwaondoa wafugaji katika maeneo ya ambayo hayajatengwa na Serikali wilayani humo kwa ajili ya shughuli za ufugaji.
Na Mwandishi Wetu, MoHA, Liwale.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewapa siku 14 Jeshi la Polisi mkoani Lindi kuwaondoa wafugaji katika maeneo ya ambayo hayajatengwa na Serikali wilayani L...
Read More