Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasha moja ya pampu zinazozalisha maji katika mradi wa visima 10 vya maji vilivyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam, ambavyo vina uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 70 kwa siku. Novemba 2, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi wa maji kwenda kwa wananchi, wakati alipotembelea na kuzindua mradi wa visima 10 vya maji vilivyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam, ambavyo vina uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 70 kwa siku. Novemba 2, 2022.