Waziri Mkuu Akutana na Balozi wa Qatar Nchini Tanzania
Nov 02, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Hussein Bin Ahmad Al Homaid, Ofisini kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam Novemba 2, 2022.