Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) akizungumza bungeni jijini Dodoma Novemba 2, 2022.
Na Haika Mamuya, WFM, Dodoma
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande, amesema kuwa utaratibu wa sasa wa Serikali na taasisi zake kutunza fedha Benki Kuu ni mzuri na wa wazi zaidi kwa kuwa unachochea ukuaji wa huduma jumuishi za kifedha.
Hayo yamebainishwa bungeni, jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Same Magharibi, Mhe. Dkt. David Mathayo David aliyetaka kujua ni lini Benki Kuu itaweka utara...
Read More