Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania
Nov 03, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania, Mhe. Charlotta Ozaki Macias, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 3-11-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania, Mhe. Charlotta Ozaki Macias baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-11-2022, alipofika Ikulu kwa mazungumzo.