Kamati Maalum ya Vyama vya Siasa Kuhusu Demokrasia Kukabidhi Ripoti
Nov 03, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Mhe. Ameir Hassan Ameir wa Chama cha Demokrasia Makini, mjumbe wa Kamati Maalum ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa, katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Mhe. Vuai Ali Vuai kutoka CCM,mjumbe wa Kamati Maalum ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Mhe. Rukia Kassim Ahmed (kutoka CUF), mjumbe wa Kamati Maalum ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano waWadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Mhe. Dkt. Ali Ahmed Uki, Mwenyekiti wa Kamati Maalum (kikosi kazi) katika hafla ya kukabidi ripoti ya mapendekezo ya Kamati hiyo iliyojadili na kuchambua maoni ya washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa kutoka kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo Dkt.Ali Ahmed Uki (kulia) hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Mhe. Balozi Dkt. Amina Salu Ali Makamu Mwenyekiti wa Kamati Maalum (kikosi kazi) katika hafla ya kukabidi ripoti ya mapendekezo ya Kamati hiyo iliyojadili na kuchambua maoni ya washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa kutoka kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dkt. Ali Ahmed Uki (kulia) hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Baadhi ya Waalikwa kutoka taasisi mbali mbali waliofadhili na kufanikisha mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa wakiwa katika hafla ya kukabidhi ripoti ya kamati maalun iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.