Makamu wa Rais Katika Ufunguzi wa Jukwaa la Uwekezaji Afrika - Abidjan
Nov 02, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akisikiliza viongozi mbalimbali wakati wakitoa hotuba za ufunguzi katika Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika leo tarehe 02 Novemba, 2022 linalofanyika Jijini Abidjan nchini Ivory Coast.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa nchi na serikali kutoka baadhi ya mataifa ya Afrika pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Dr. Akinwumi A. Adesina (watatu kutoka kushoto) mara baada ya kumalizika kwa ufunguzi wa Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika leo tarehe 02 Novemba, 2022 linalofanyika Jijini Abidjan nchini Ivory Coast.