Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akimkabidhi zawadi ya picha moja ya vivutio vya utalii vinavyopatikana Zanzibar Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dkt. Akinwumi Adesina mara baada ya mazungumzo baina yao yaliyofanyika katika katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya AfDB Jijini Abidjan nchini Ivory Coast
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dkt. Akinwumi Adesina na ujumbe wake pamoja na wawakilishi wa Tanzania katika Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika 2022 mara baada ya mazungumzo baina yao yaliyofanyika katika katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya AfDB Jijini Abidjan nchini Ivory Coast.