Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiongoza kikao kati ya wadau wa maendeleo na baadhi ya viongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango (hawapo pichani), kuhusu maandalizi ya mkutano kati ya Tanzania na wadau wa maendeleo utakaofanyika hivi karibuni.
Na. Peter Haule, WFM, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amefanya kikao naMwenyekiti Mwenza wa Washirika wa Maendeleo nchini, Mhe. Zlatan Milisic, kuhusu ushirikiano wa maendeleo na maandalizi ya mkutano kati ya Serikali na washirika...
Read More