Mkurugenzi wa Jiji, Joseph Mafuru akizungumza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kulipatia Jiji la Dodoma Shilingi 580,000,000 fedha za ujenzi wa madarasa 29 ya shule za sekondari.
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia fedha Shilingi 580,000,000 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 29 ya shule za sekondari kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi kusoma kwa nafasi na katika mazingira bora.
Shukr...
Read More