Rais Dkt. Mwinyi Azungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Nov 11, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Lugha Bashungwa alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 11-11-2022, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Lugha Bashungwa baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-11-2022