[caption id="attachment_37191" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Ofisi Kuu ya Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa cha Makutupora jijini Dodoma, Oktoba 21, 2018. Watatu kushoto ni Mkuu wa Kikosi, Luteni Jenerali Regina Matina, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge, kulia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde na wapili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi.[/caption]
[caption id="attachment_37192" align="aligncenter" width="750"]...
Read More