Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Watumishi TRA Wajadili Uboreshaji wa Huduma Mbalimbali za Walipakodi
Oct 22, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_37182" align="aligncenter" width="750"] Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere akizungumza leo na watumishi wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi waliopo TRA Makao Makuu jijini Dar es Salaam juu ya uboreshaji wa huduma mbalimbali za walipakodi.[/caption] [caption id="attachment_37183" align="aligncenter" width="750"] Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Bi. Agnes Kitwanga akifafanua jambo wakati wa kikao na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere kilichofanyika leo TRA Makao Makuu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_37184" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya watumishi wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wakimsikiliza kwa makini Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere (hayupo pichani) wakati wa kikao na kamishna huyo kilichofanyika leo TRA Makao Makuu jijini Dar es Salaam. (Picha Zote na Veronica Kazimoto).[/caption] [caption id="attachment_37185" align="aligncenter" width="750"] Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere akizungumza leo na watumishi wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi waliopo TRA Makao Makuu jijini Dar es Salaam juu ya uboreshaji wa huduma mbalimbali za walipakodi.[/caption] [caption id="attachment_37186" align="aligncenter" width="750"] Meneja wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi Bw. Gabriel Mwangosi (katikati) akitoa maoni wakati wa kikao na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere kilichofanyika leo TRA Makao Makuu jijini Dar es Salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi