Timu ya wataalam kutoka Uganda na Tanzania wakiwa eneo linalofanyiwa tafiti ya uwezekano wa uwepo wa mafuta,timu hiyo inaongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (Tanzania) na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Maendeleo ya Madini (Uganda), Robert Kasande
Na Mwandishi Wetu
Imeelezwa kuwa miamba iliyo katika Bonde la Eyasi Wembere hususan mabonde madogo (sub basin) ya Wembere na Manonga yaliyopo katika mikoa ya Tabora, Shinyanga, Singida na Simiyu inawezekana kuwa na mafuta kutokana...
Read More