Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Marufuku Kuwakamata Wauguzi Bila ya Kufuata Taratibu-Majaliwa
Oct 04, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_16786" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisoma Hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) ambao umeanza leo Mkoani Lindi[/caption]   [caption id="attachment_16789" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mwenezi msaidizi wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Johari Yusuf, baada ya ufunguzi wa Mkutano wa chama cha wauguzi leo Mkoani Lindi.Katikati ni Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania Bwana Poul Magesa .kulia kwa katibu mwenezi ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wauguzi Tanzania Sebastian Luziga. (Picha na: Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi